Chagua unachohitaji
Eleza huduma ya nyumbani unayotafuta.
Pata wataalamu wa huduma za nyumbani Tanzania — usafi, mabomba, umeme, bustani, upakaji rangi na dish/ving’amuzi/TV, sehemu moja.
Tafuta huduma kisha chagua kadi ili kuanza ombi lako.
Huduma zetu
Tafuta huduma za nyumbani zinazopatikana kwenye Safi Nyumbani, kisha tuma ombi kwa urahisi.
Usafi wa nyumbani
Kwa nyumba safi na yenye utulivu.
Mabomba
Msaada wa mifumo ya maji.
Umeme
Huduma za umeme nyumbani.
Dish, ving’amuzi na TV
Usaidizi wa vifaa na muunganisho.
Bustani
Utunzaji wa bustani ya nyumbani.
Upakaji rangi
Rangi mpya kwa kuta na sehemu za nyumba.
Chagua huduma uone jinsi inavyofanyika.
Takwimu halisi
Takwimu za wateja na watoa huduma wenye ratings bora kutoka kwenye kazi zilizokamilika.
Kwanini Safi Nyumbani
Huduma za nyumbani zilizo wazi na rahisi kuchagua.
Tazama maendeleo ya huduma yako kupitia akaunti yako.
Lipa kwa usalama kupitia Safi Nyumbani.
Kwa watoa huduma
Jiunge na Safi Nyumbani na upokee maombi ya huduma yanayolingana na kazi yako.
Safi Nyumbani